Kumb. Na
EA.7/96/01/G/52
|
20-08-2014
|
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu
wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Centre for
Agricultural Mechanization and Rural Technology (CAMARTEC), Tanzania Tea Board
(TTB), Occupational Health and Safety Agency (OSHA), Institue of Rural
Development Planning-Dodoma (IRDP), Local Government Authorities (LGAs),
Tanzania Institute of Education (TIE) na Co-operative Audit and Supervision
Corporation (COASCO), anatarajia kuendesha usaili na hatimae kuwapangia vituo
vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.
Wasailiwa walioitwa
kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Usaili
utaanza saa moja kamili asubuhi (1:00) na utafanyika mahali na tarehe kama
inavyoonesha katika nafasi husika.
2.
Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi
mfano: kitambulisho cha mkazi, kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k
3. Kuja
na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
mwombaji.
4. “Testmonials”,
“Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne
na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
7. Kila msailiwa
azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyia usaili.
8. Kila msailiwa aje na
cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
9.
Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania
wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU
& NECTA)
10. Wale
ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo endapo barua zao za maombi zilitufikia, hivyo wasisite kuomba tena pindi
nafasi za kazi zitakapotangazwa.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI, UTAKAONZA TAREHE 26-08-2014
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI, UTAKAONZA TAREHE 26-08-2014
Reviewed by Unknown
on
10:35:00 PM
Rating: